Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kushiriki Mkutano wa Pili wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Jiji la Addis Ababa nchini
Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt.
William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali
wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini
Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakielekea katika tukio la upandaji
miti katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Tarehe 08 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipata mti nje ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.
No comments:
Post a Comment