Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mlowa waliopo kwenye Jimbo la Mvumi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 07 Septemba, 2025.
BAJETI YA YANGA SC NI TSH. BILIONI 33. 6 MSIMU WA 2025 - 2026
-
Klabu ya Yanga SC imeweka Bajeti ya kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi
Bilioni 33 kwenye msimu ujao wa mashindano wa 2025 - 2026.
Bajeti hiyo ni ongezeko l...
34 minutes ago
No comments:
Post a Comment