Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt.Nchimbi Awahutubia Wananchi wa Biharamulo

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwasili katika uwanja wa mpira CCM Majengo,katika jimbo la Biharamulo Magharibi mkoa wa Kagera.



Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwasili katika Wananchi katika uwanja wa mpira CCM Majengo,katika jimbo la Biharamulo Magharibi Mkoa wa Kagera,ambapo baadae atawahutubia Wananchi waliofika kumsikiliza leo Jumamosi Septemba 6,2025 akitokea Mkoa wa  Geita.

Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.