Habari za Punde

Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Uliyofanyika Wiki Iliyopita Viwanja vysa Matarumbeta Wilaya ya Mjini Unguja

Wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika Mkutano wa Kampeni wa uzinduzi wa Jimbo la Jangombe uliyofanyika katika viwanja vya Matarumbeta Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto) Mgombea Ubunge Mhe.Ali Hassan King na Mgombea Uwakilishi Ali Gulam, wakifuatilia mkutano huo.
Mgombea Uwakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Gulam akiwa na Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vua Matarumbeta  Wilaya ya Mjini Unguja. 
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Hassan King akiwa na Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vua Matarumbeta  Wilaya ya Mjini Unguja. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akizungumza na kuinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kuwaombea Kura Wagombea wa CCM Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Jangombe Uliyofanyika viwanja vya Matarumbeta Wilaya ya Mjini Unguja. 



























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.