Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Kongamano la Nne la Chama cha Madereva wa Serikali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma  kufungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania, Septemba 2, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 2, 2025. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 2, 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha tuzo maalum aliyoipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wa Rais katika maendeleo ya kada ya udereva serikalini. Tukio hilo lilifanyika baada ya Waziri Mkuu kufungua Kongamano la Nne la  Madereva wa Serikali  wa Tanzania kwenye kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 2, 2025.
(PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.