Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama Cha UDP Mhe. Naima Salum Hamad, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar wa Chama Cha MAKINI Mhe. Ameir Hassan Ameir , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha UPDP Mhe. Hamad Mohammed Ibrahim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha ADC Mhe. Hamad Rashid Mohamed, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha DP Mhe. Shafi Hassan Suleiman, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment