Habari za Punde

ZITO KABWE AOMBA KURA KWA WANANCHI JIMBO LA KIGOMA MJINI

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwe akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika uzinduzi rasmi wa kampeni zake katika jimbo hilo leo wakati akitangaza sera za chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.