Habari za Punde

SHEREHE ZA MIAKA 46 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MRADI WA MAJI

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA MAKAAZI DUNIANI DK. ANNA TIBAIJUKA AKIKATA UTEPE WA KUASHIRIA KUZINDUWA MRADI WA KUWASHIRIKISHA WANANCHI KUTOA TAARIFA KUTOKANA NA HUDUMA YA MAJI UNAOTEKELEZWA KWA PAMOJA KATI YA UN-HABITAT, GOOGLE, ZANTEL, INET NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR, KUWEKA MIFEREJI YA MAJI SAFI MITAANI ZANZIBAR JUMLA YA MIFEREJI 50 ITAWEKKWA MITAA MBALIMBALI UNGUJA, IKIWA NI SHAMRASHAMRA YA SHEREHE ZA MAPINDUZI KUTIMIA MIAKA 46.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.