Habari za Punde

ZOEZI LA UPIGAJI WA KURA YA MAONI PEMBA KUHUSIANA NA UUNDWAJI WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

WAPIGA kura wa kijiji cha Chanjamjawiri wakiwa kwenye foleni kusubiri kuingia chumba cha kupigia kura kituoni hapo skuli ya Chanjamjawiri.ikiwa ni zoezi la kura ya maoni
Wananchi wa kijiji cha Matale kisiwani Pemba wakiwa katika foleni wakati wakishiriki katika zoezi la upigia kura ya maoni, katika kituo cha skuli ya Matale.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.