Habari za Punde

HARAKATI KATIKA SOKO KUU LA MWANAKWEREKWE KATIKA MWEZI MTUKUFU WA MFUNGO WA RAMADHANI

Hivi ndivyo lilivyo soko la Mwanakwerekwe katika kipindi hichi cha mfungo wa mwezi wa Ramadhani lilivyosheheni bidhaa mchanganyiko.
Futari ya Ndizi

Sokoni Mwanakwerekwe - Majimbi yapo, Viazi vitamu vipo
Mwezi huu bidhaa za matunda hutumika sana kwa chakula cha futari wachuuzi wakipanga majimbi huuza fungu moja shillingi 2000/= katika soko la Mwanakwerekwe.
Mfanyabiashara katika soko la Mwanakwerekwe akisuburi wateja wa bidhaa ya maboga. Boga moja shillingi 1500/= hutumiwa kwa futari katika kipindi hichi cha mfungo wa Ramadhaan katika Visiwa vya Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.