Habari za Punde

JENGO LA BARAZA LA WAWAKILISHI CHUKWANI

Hii ni special kwa mdau aliyeomba kuliona Jengo la Baraza la Wawakilishi kwa nje na kwa ndani. Tunawasilisha.














Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika kikao cha dharura cha kujadili Mswaada wa marekebisho ya Katiba, katika ukumbi mpya wa Baraza Mbweni hivi karibuni kabla ya kuvunjwa na Rais wa Zanzibar.

4 comments:

  1. Asalam Alaikum,

    Shukran kwa kuzingatia ombi langu, baraza limetulia si mchenzo, japo wengine watasema sijui tumecopy design.

    ReplyDelete
  2. A.alaikum

    jengo letu jipya limetulia kabisa

    Shukran Mapara

    ReplyDelete
  3. Nimependezwa sana kuliona jengo hili. Shukran sana bwana Othman.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.