Habari za Punde

KINYAN'GANYIRO CHA URAIS ZANZIBAR KIMEANZA. WAGOMBEA WAANZA KUCHUKUA FOMU AFISI ZA TUME ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Chama cha TADEA Ali Juma Khatib akionesha fomu yake baada ya kuchukua katika Afisi za Tume Maisara, akiwa ni mgombea wa kwanza kuchukuwa fomu katika kinyan'ganyiro hicho cha urais Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia cha TADEA Juma Ali Khatib akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu hiyo katika Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.