Habari za Punde

TUNABORESHA MIUNDO MBINU

Mdau sehemu hii unaikumbuka hapo zamani kulikuwa na round about au hakuwa eneo la kwa Boko kwa sasa likiwa limewekwa kitu hicho ukitokea Mental Hospitali sasa ndivyo lilivyo mdau wangu ikiwa ni kuimarisha miundo mbinu ya barabara kuwa za kisasa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.