Habari za Punde

UTALII UNAPOTENGENEZA AJIRA

Mambo ya utalii huwafutia watalii kujipatia bidhaa za Vinyago kama kijana huyu akisafisha uso wa kinyago kwa ajili ya kufanya biashara kwa wageni wanaofika katika visiwa vya Zanzibar.
Msanii wa uchoraji, Othman Silima akichora moja ya picha za tingatinga katika mitaa ya mji mkongwe ambapo hutembelewa na watalii mbalimbali wanaofika katika Visiwa vya Zanzibar, akiwa katika duka lake Hurumzi kwa Jani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.