Habari za Punde

DK SLAA ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI

Mgombea Urais kupitai Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Zanzibar katika mkutano wa kuomba udhamini wa fomu ya urais wa Tanzania, katika Mkutano uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Maendeleo na Demokrasia( CHADEMA) Dk.Wilbroad Slaa katika Mkutano wa kuomba wanachama wa chama hicho kumdhamini katika fomu ya kugombea urais,uliofanyika kiwanja cha kibanda maiti.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.