Habari za Punde

MGOMBEA UWAKILISHI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI SIMAI MOHAMMED SAID AKITANGAZIA MKUTANO KWA KUTUMIA KIBAJAJI

MGOMBEA Uwakilishi wa Mji Mkongwe Simai Mohammed Said akitangaza mkutano wake kwa staili yake kwa kutumia Kibajaji akipita mitaani katika maeneo ya jimbo lake.
MGOMBEA uwakilishi Mji Mkongwe akitangaza mkutano wake wa kampeni katika mitaa ya Marikiti kuu Darajani.
MGOMBEA Uwakilishi wa Mji Mkongwe Simai Mohammed Said akitangazia mkutano wake wa kampeni leo ambao utafanyika kiwanja cha mapembeani Muembetanga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.