Habari za Punde

NDEGE ILIYOANGUKA MTENDE

Gari la kikosi cha Zimamoto likiwa tayari kutowa msaada katika ajali ya ndege iliotokea kijiji cha Mtende Makunduchi kutuwa kwa dharura katika barabara hiyo.
NDEGE ikiwa pembezoni mwa barabara ya kijiji cha Mtende baada ya kutua kwa dharura ikiwa katika safari zake za kujifundishia marubani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.