Habari za Punde

BUNGE LA KUMI LILIVYOHUTUBIWA NA RAIS KIKWETE

 Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa Bunge akifuatana na Spika wa Bunge hilo Anna Makinda pamoja na watendaji wengine.
 Makamo wa Rais wa Tanzania Dk Bilali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,wakiingia katika Bunge na wasaidizi wa kumbi w Bunge.


                                               



Rais Kikwete akilihutubia Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Wabunge wa chama cha Upinzani cha Chadema wakiwa wametoka nje ya Ukumbi.
Naibu Spika wa Bunge akiongozana na Makamo wa Kwanza na wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakiingia katika Ukumbi wa Bunge la Kumi.

Picha zote na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.