Habari za Punde

DK SHEIN ALIPOHUDHURIA KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU PINDA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akisalimiana na  Mkuu wa TBC Tido Mhando,wakati wa sherehe ya kuapisha waziri Mkuu Pinda
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akisalimiana na Mbunge wajimbo la Amani Mussa Hassn Mussa,wakati wa sherehe ya kuapisha Waziri Mkuu Pinda,huko Chimwaga Dodoma
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akisalimiana na baadhi ya Wabunge wa Majimbo mbali mbali,wakati wa sherehe ya kuapisha waziri Mkuu Pinda
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akisalimiana na Mbunge wa CUF Hamad Rashid Mohammed wakati wa sherehe ya kuapisha waziri Mkuu Pinda

Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.