WANANCHI waliohudhuria kikao cha Baraza la Eid wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar katika kikao cha baraza
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akilihutubia Baraza la Eid Forodhani.
VIONGOZI wa Serikali wakiitikia duwa
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Sita Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume akisalimiana na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Khamis Haji katika viwanja vya Jumba la Wananchi Forodhani baada ya kumalizika sherehe za Baraza la Eid
WANANCHI waliohudhuria sherehe za Kikao cha Baraza la Eid wakipata vitafunio baada ya kumalizika hutuba ya Rais wa Zanzibar.
MABALOZI wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakishiriki katika sherehe za Baraza la Eid wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akilihutubia baraza hilo
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Sharif Hamadi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Salim Turky katika Viwanja vya jumba la Wananchi FORODHANI.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Juma Ali Khatib
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi katika viwanja vya Jumba la Wananchi Forodhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi na Wananchi walioghudhuria Baraza la Eid Nyumba ya Wananchi Forodhani.
MAKAMO wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis, baada ya kumalizika kwa baraza la Eid.
No comments:
Post a Comment