RAIS mteule Dk Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuapishwa kesho tarehe 3/11/10 katika sherehe zitakazofanyika katika kiwanja cha Amaan kuanzia saa 3 asubuhi.
Pichani ni matayarisho ya sehemu itakayotumika katika sherehe hiyo kama ilivyopigwa picha hii leo
 

 
.jpeg) 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment