Habari za Punde

SHAMRA SHAMRA ZA USHINDI ZILIVYOENDELEA LEO



WANACHAMA wa CUF wakiwa katika maandamano wakitokea Bububu wakishangiria matokeo ya Urais wa Zanzibar.
WANACHAMA wa CCM wakimshindikiza Biarusi ikiwa ni moja ya Vitukovya kufurahia ushindi wa Urais
WANACHAMA wa CCM wakiwa katika Viwanja vya Maskani Kaka ya Kisonge MICHENZANI wakishangiria USHINDI  baada ya kutoka kidedea katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.