Habari za Punde

MRADI WA KUPIGA VITA MALARIA


HUWA najaribu kujiuliza hivi vita tutashinda kwelii?. Ni vita ambavyo tuliwahi kuthubutu na kuutangazia ulimwengu huko nyuma kwamba tayari Zanzibar tumeitokomeza Malaria si mara moja wala mara mbili. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza Zanzibar Mohammed Shamte alitamka ndani ya Umoja wa Mataifa mwaka 1963, miaka 47 iliyopita kwamba, Mr. President. Political problems tend to hit the world headlines, but it is not generally known, for instance, that malaria which a few years ago used to cause as much havoc as any war, is now almost wiped out from Zanzibar, as a result of an intensive joint effort on the part of WHO, UNICEF and the Government and people of Zanzibar.( Bwana Rais. Aghlabu  utaona kuwa  matatizo ya kisiyasa yanapata umbele katika  vyombo vya khabari, lakini si sana kusikiya mathalan kuwa ugonjwa wa malaria ambao kwetu ukiuwa watu kwa wingi kama vita vyo vyote vile, sasa takriban maradhi hayo yamekwisha toweka kutoka Zanzibar, kutokana na juhudi pevu iliyofanywa kwa kushirikiana Shirika la Afya la Ulimwengu, yaani WHO, na Sanduku la Kusaidia Watoto, yaani UNICEF, na Sirikali na wananchi wa Zanzibar)

Ni mwaka 2010 bado tumo vitani tuklipambana na mdudu mdogo aitwae mbu



Hii ni nyumba ya mwananchi ikinyunyuziwa dawa za kuuua mbu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.