Habari za Punde

ZANZIBAR HEROES YATOLEWA KWA PENALTI

Uganda v Zanzibar


Mpira ulikwisha matokeo ni 2-2

Tulianza vibaya na kujikuta tunatundikwa bao mapema. Tukasawazisha. Tukaongezwa la pili. Hapo tukaanza kucheza mpira  kusawazisha la pili katika dakika za majeruhi. Penalti 5-3 Waganda walifunga penalti zote tano nasi tukakosa moja.

Maelezo zaidi yatafuatia

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.