Habari za Punde

BARABARA YA MFENESINI - BUMBWINI YAENDELEA KUJENGWA

SAGAMAWE  la kampuni ya Ujenzi ya MECCO  inayojenga barabara mpya ya Bumbwini  Mfenesini likiweka sawa kifusi ili kuweza kuweka lami baada ya kujengwa upya na kutanuliwa, kama mdau alivyowakuta wafanyakazi hawa wakiendelea na kazi hiyo wakiwa maeneo ya Fujoni

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.