MSHAMBULIAJI wa timu ya Miembeni Ahmed Malik akiwapita walinzi wa timu ya KMKM katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar Miembeni wameshimda 2-1. |
KOCHA Mkuu wa timu ya KMKM Ali Bushiri akitowa malalamiko yake kwa Muamuzi wa akiba Ramadhani Kibo kutoridhishwa na mchezo anayechezesha muamuzi wa pambano hilo, timu ya KMKM imefungwa 2-1.
KOCHA Mkuu wa timu ya KMKM Ali Bushiri akitowa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati wa mapumziko. |
BEKI wa timu ya KMKM akiambaa na mpira
KOCHA Mkuu wa Timu ya Miembeni Abrahamani Mussa akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja Mao timu ya Miembeni imeshinda 2-1
Mpe pole uyo bushiri maana naona kibarua kakinza vibaya ndo maana awe mkali
ReplyDelete