Habari za Punde

ZANZIBAR NI KIVUTIO CHA WATALII KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI.

 WATALII kutoka Nchini Afrika ya Kusini akiwa katika Soko Kuu la Darajani wakitembelea sehemu za historia ya Visiwa vya Zanzibar, wakishuka katika basi.  
 MFANYABIASHA ya Madafu akitowa maelezo kwa Watalii kutokla Afrika ya Kusini walipotembelea Mji Mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni moja ya vivutio vya watalii wanaotembelea Zanzibar.
MTEMBEZA Watalii Masoud akitowa maelezo ya moja ya sehemu za Historia ya Zanzibar katika Marikiti Kuu ya Darajani kwa Watalii kutoka Nchi Afrika ya Kusini  wakitembelea sehemu za Historia.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.