WAZIRI wa Ardhi Makazi, Maji na Nisharti Ali Juma Shamuhuna na Mwakilishi wa Chwaka (CCM) Issa Haji Ussi (Gavu) wakitoka katika jengo la Baraza
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed (CCM) na Mwakilishi wa Mtambwe (CUF) Salim Abdalla Hamad wakifurahia jambo wakati wakitoka katika Ukumbi wa Baraza. MWAKILISHI wa Jimbo la Kikwajuni (CCM ) Mahmuod Mohammed Mussa na Mwakilishi wa Mfenesini Ali Abdalla Ali (CCM) akimsikiliza kwa makini alipokuwa akisisitiza jambo bada ya mapumziko ya kikao cha asubuhi wakiwa nje ya ukumbi wa Baraza.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kushoto Asha Bakari (CCM) na Ismail Jussa wa (CUF) wakitoka katika ukumbi wa baraza baada ya kumalizika kikao cha asubuhi.
WAZIRI wa Habari Utamaduni Michezo na Utalii Abdillah Jihad na Mwakilishi wa Magogoni (CUF) akiwasikiliza Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki waliotembelea Baraza na kuona shughuli za Uendeshaji wa Kikao cha Baraza,
MWAKILISHI Mwanaidi Kassin (CCM) akisisitiza jambo na Wawakilishi wenzake wakiwa nje ya Ukumbi wa Baraza katikati Asha Aboud Haji (CUF) na Salma Mussa Bilal.
No comments:
Post a Comment