Habari za Punde

ZIARA YA RAIS TAASISI ZA OFISI YA RAIS

Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Magharibi Unguja,Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) wakati alipotembelea Ikulu ndogo Bwefum,wilaya ya Magharibi jana,akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi za Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Mwinyihaji makame,(kushoto) alipotembelea Ikulu ndogo,Bwefum wilaya ya Mgharibi , akiwa katikaZiara ya kutembelea taasisi za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake,akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa Ikulu ndogo ya Bwefum,Rajab Shaaban Ali,(kulia) alipotembelea Ikulu hiyo jana,akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame,alipotembelea Afisi nya Utumishi,huko Forodhani,alipoifanya ziara ya kutembelea tasisi za  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi Juma Ame,jana alipotembelea makao makuu ya idara hiyo,akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk Ali Mohamed Shein,akitoa maelekezo wakati alipotembelea  Makao Makuu ya Kikosi cha Valantia jana,akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.