Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja
Wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja.
Wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar jana
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA MKE WA RAIS WA FINLAND
-
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa
Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi,
ameihakikishi...
8 hours ago
Kaka asalam alaikum heshima yako.pole za majukumu.
ReplyDeletehongeara kwa kazi nzuri ya kutuhabarisha yanayojiri zanzibar na vitongoji vyake.
Mimi ni mwanablog pia ni mfuatiliaji wa blog yako naomba msaada wako unipe link hapo kwako kwenye BLOG NA TOVUTI NYENGINE ili nami jamii ipate kunifahamu na kutokana na kile nachokifanya.nami pia ntaku-link hapa kwangu.
Naimani kaka utafanya hivyo nakutakia kila la heri mola akubariki,asante.
Nitumie email kwenye othmanmaulid@gmail.com
ReplyDelete