Naibu Kadhi Mkuu akiongoza Sala ya Janaazah iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamo wa Rais Dk Bilal pamoja na viongozi wengine
Waumini waliohudhuria mazikoni wakiubeba mwili wa Bi Rahma Mshangama wakati wa mazishi yake leo wa pili kushoto ni ndugu wa Bi Rahma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Bi Rahma Mshangama aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya ustawa wa Jamii, maendeleo ya vijana wanawake na watoto. Amezikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein pamoja na Makamo wa Rais Dk Bilal na waumini wengine wakiomba duwa.Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment