MCHEZAJI wa timu ya Polisi Morogoro Mathalena Muhagama ( GS) akidaka mpira huku mchezaji wa timu ya JKU Zanzibar Hamida Sunday (GK), akijiandaa kumzuwia katika mchezo wa Klabu Bingwa uliofanyika uwanja wa Gmykhana asubuhi timu ya JKU imetoka kivua mbele.
MCHEZAJI wa timu ya Polisi Morogoro Nyirabu Maximulian ( GA) akijiandaa kufunga golini mwa timu ya JKU Zanzibar.
WACHEZAJI timu ya Polisi na JKU wakiwania mpira katika mchezo wa Netiboli wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kulia Nyirabu (GA0 na Magret (GD)
MATHALENA Muhagama ( GS) ili kujianda kufunga kuipitia timu yake ushindi. dhidi ya timu ya JKU.
No comments:
Post a Comment