GARI iliyobuniwa na Mr Sugu Mzanzibari likiwa katika maonesho ya Siku ya Wafanyakazi 'MAY DAY' yanayofanyika Viwanja vya Amaan Nje.
WANANCHI wakiwa katiba banda la Maonesho la Mamlaka ya Mji Mkongwe wakionesha baadhi ya Majengo yailoko katika Hifadhi hiyo.
VITU vya Thamani vinavyotengenezwa na Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar ( JKU) wakionesha bidhaa zao wanazotengeneza katika Jeshi hilo vikiwa katika banda lao la maonesho,Amaan. kilele cha sherehe hizo kinafanyika kesho 1-5-2011 katika Ukumbi wa Salama Bwawani.
WIZARA Kilimo wakionesha mbegu bora na jinsi ya kuhifadhi Maliasilina jinsi ya mageuzi ya kilimo Nchini Dk Ramadhani Juma wa Hospitali ya Wanyama Maruhubi akimfanyia matibabu mnyama katika maonesho ya siku ya Wafanyakazi Duniani huadhimishwa kila Mwaka 1 Mei.
No comments:
Post a Comment