Habari za Punde

MSIMU WA BIASHARA YA MIAVULI SASA.

WAFANYABIASHARA ya Miavuli wakiwa wamejifunika mianvuli hiyo wakati mvua ikinyesha wakisubiri wate wa bidhaa hiyo darajani mwavui mmoja huuza shilingi 5000/= kwa mkubwa na mdogo 3500/=.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.