Mmoja kati ya marafiki zake wakubwa marehemu Abdulrahman Mohamed Babu, Profesa wa sheria kwenye chuo kikuu cha North Carolina, Bereket Habte Selassie (pichani) akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Babu alipofika Zanzibar akiwa njiani kwenda Dar Es Salaam kuhudhuria mkutano wa Nyerere Foundation hivi majuzi.
Picha na Martin Kabemba
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
8 hours ago

0 Comments