NAI BU Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania Juma Juma Makame akifunguwa mafunzo ya Kozi ya Bima Zanzibar inayotolewa na Chuo cha Fedha Tanzania (IFM ) kulia Mkuu wa Chuo Profesa G.D. Njema na Dean wa Chuo Dk. Kihanda Joseph.
MKUU wa Chuo cha IFM Tanzania Profesa G,D. Njema akitowa nasaha zake kwa Wakufunzi wa Kozi ya Bima wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo.
BAADHI ya Wanafunzi wa Kozi hiyo ya Bima Zanzibar wakimsikiliza Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania Juma Juma Makame akifunguwa kozi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach.
DEAN of Facucty IFM Dk Kihanda Joseph akitowa maelezo ya kuanzisha kwa Kozi hiyo hapa Zanzibar ili kutowa uwezo wa Vijana Kielimu ya Bima kwa Jamii.
MHADHIRI Mwandamizi wa Mafunzo ya Bima ya Hifadhi ya Jamii IFM Zubeda Chande akitowa maelezo ya Kozi wanayoitowa kwa Wanafunzi wepya wakati wa Ufunguzi uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach, ikiwa ni kozi ya kwanza kutolewa hapa Zanzibar ikianza na Wanafunzi 34.
BAADHI wanafunzi wa Mafunzo mafupi ya miezi mitatu ya Bima Zanzibar yanayotolewa na Chuo cha Fedha Dar- es- Salaam (IFM) wakimsikiliza Mkuu wa Chuo akitowa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini.
No comments:
Post a Comment