Katibu Mkuu wa chama cha mabunge ya Jumuiya ya Madola Dk. William Shija akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na makamu wa pili wa rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipotembelewa ofisini kwake, katika mzungumzo yao Balozi Seif amesema serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar imekuja kuondoa uhasama uliokuwepo miongoni mwa jamii.
Baozi Seif Iddi akipiga picha ya pamoja na Dk William Shija.Picha na Abdulla Ali Abdulla. Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
No comments:
Post a Comment