WACHUUZI wa Samaki katika Soko la Kuu Darajanmi wakiwa katika eneo la mnada katika soko hilo wakisubiri kuletwa samaki na Wavuvi, wakati huu kuna upungufu mkubwa wa bidha hiyo hapa Zanzibar.
ABIRIA wa Magari yanaokwenda njia ya Kaskazini Unguja wakipanda moja ya gari za Nungwi katika kituo cha Darajani wakipata huduma hiyo ya usafiri.
WANANCHI wakiushambulia Mti wa Muembe ulioanguka kutokana na upepo uliovuma jana na kusababisha kuanguka kwa muembe huo ulioko katika eneo la Maruhubi, katika ajali hiyo hakuna aliyejeruhiwa.
No comments:
Post a Comment