Habari za Punde

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA MISRI

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad  akisalimiana na Muandishi wa habari wa Gazeti la Al Masry Al Youm la Misri alipofika Ofisini kwake na katikati Balozi Mdogo wa Misri Zanzibar.    


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.