Habari za Punde

DK SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA ZIARANI UTURUKI.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali  alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akirejea ziarani Nchi Uturuki.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyakiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea ziarani Nchini Uturuki.  
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Wahabari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.akielezea mafanikio ya Ziara yake.
 WAANDISHI wa habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili Uwanja wa Ndege akilipowasili akitokea ziarani Nchini Uturuki.  
 MWANDISHI wa habari wa Chanal Ten  Munir Zakaria  akiuliza  suali wakati  wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizungumza na Waandishi mafanikio ya ziara yake Nchi Uturuki.
 MUANDISHI wa habari wa ITV Redio One Farouk Karim  akimuuliza swali Rais wa Zanzibar  alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari  alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumaliza mazungumzo na Waandishi wa habari  uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.