Habari za Punde

DK SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MKOA M/MAGHARIBI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM Taifa,akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Viongozi wa  Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini katika ukumbi wa mikutano wa  Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini,alipofika kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi,katika ziara zake za Chama cha Mapinduzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini katika ukumbi mikutano wa  Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani,alipofika kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi,katika ziara zake za Chama cha Mapinduzi MKoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM Taifa,akipokea ripoti ya chama Wilaya ya mjini kutoka kwa Katibu wa Wilaya ya Mjini Fatuma juma Shomari,wakati wa mkutano wa  Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini katika ukumbi wa mikutano wa  Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini,alipofika kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi,katika ziara zake za Chama cha Mapinduzi

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.