SKULI ya Kisasa ya Sekondari Konde ikiendelea na hatu za mwisho ya ujenzi wake ikiwa ni mradi wa kujenda skuli za kisasa kila Wilaya Zanzibar zenye hadhi ya Kimataifa.
JENGO la Maabara ya Skuli ya Kisasa za Wilaya likiwa katika hatuwa ya umaliziaji wake, jumla ya Skuli nne zinajengwa katika Kisiwa cha Pemba zikiwa chini ya Mradi wa Benki ya Dunia na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kujenga skuli 10 Zanzibar, kila wilaya.
No comments:
Post a Comment