WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud Hamad na Naibu wake Issa Haji Ussi, wakizungumza baada ya kikao cha asubuhi kumalizika na jioni Kuwasilisha Bajeti ya Wizara yake.
MWAKILISHI wa kuteuliwa na Rais Ali Mzee Ali akipongezwa na Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud Hamad wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano.
MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Issmal Jussa akimsalimia Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Asha Bakari na Dr. Sira Mwamboya wakimpongeza Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nisharti Ali Juma Shamuhuna, baada ya kupitishwa bajeti ya Wizara yake katika Kikao cha Bajeti ya mwaka 2011 -- 2012.
WAZIRI wa Ardhi, Makaazi Majhi na Nisharti Ali Juma Shamuhuna akizungumza na Watendaji wa Wizara yake baada ya kupitisha bajeti yake leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment