Habari za Punde

MZEE RAMADHANI CHAGAKA AKISOMEWA GAZETI NA MTOTO WAKE.

MZEE Ramadhani Chagaka  akisomewa gazeti na Mtoto wake Rukia Ramadhani (10) mweanafunzi wa darasa la tana skuli ya ST. Francis Maria, ambaye anapata elimu kwa njia ya kusaidiwa  na Uongozi wa Skuli hiyo kutokana na Mzazi wake hana uwezo wa kumsomesha , ambaye ni mlemavu wa  wa miguu, huishi kwa kutegemea kuomba misaada kwa Wananchi, 

    .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.