Habari za Punde

MZEE ALI WA HURUMZI AKIENDELEA NA BIASHARA YAKE

UNAMKUMBUKA Mzee Ali wa Skuli ya Hurumzi akifanya biashara ya kunazi, embe na mapera bado akiwa na shughuli ile ile ulomuacha wewe wakati ukisoma skuli hiyo, kama anavyoonekana  akiwa katika kazi yake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.