Habari za Punde

MAMBO YA USAFI MJI MKONGWE HAYOO...


WAFANYAKAZI wa michirizi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiufanyia usafi mmoja wa mtaro ulioko katika Mji Mkongwe ili kupitisha maji machafu yanayozalishwa katika maeneo hayo. Naona Mheshimiwa anapiga kazi bila ya zana za kujikinga ( Glovu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.