MGENI Rasmin wa mashindano ya kuhifadhi Quran Mhe. Ali Juma Shamuhuna akitowa nasaha zake kwa waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria mashindano hayo jana katika Masjid
WASHIRIKI wa mashindano ya kuhifadhi Quran wakimsikiliza mgeni rasmin Mhe. Ali Juma Shamuhuna akitowa nasaha zake kwa Waislam waliohudhuria mashindano hayo yaliofanyika Masjid
Mgeni rasmin Ali Juma Shamuhuna akimkabidhi zawdi mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuhifadhi Quran kutoka Zanzibar Awadh Ahmad, kwa kuhifadhi juzuu 20.
Mhe Ali Juma Shamuhuna akimkabidhi zawadi mshindi wa tano wa Abdalla Ali (12) kwa kuhifadhi juzuu 20 kutoka Kenya.
Ismai Issa kutoka Pemba mshindi wa Pili wa kuhifadhi Quran juzuu 20
MWANAFUNZI kutoka Malawi Abdulhakim Mohammed mshindi wa Nne akisoma Quran katika mashindano hayoMWANAFUNZI kutoka Burundi Juma Ndikumana akishiriki kusoma Juzuu 20
MTAYARISHASHI wa mashindano hayo Khatibu Tahir Nassor akionesha cheti maalum walichomuandalia mgeni rasmin wa mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Fii sabil lah kwa Said Washoto Amani.
MRATIBU wa mashindano ya kuhifadhi Quran juzuu 20 Khatb Tahir akimkabidhi cheti mgeni wa mashindano hayo Mhe. Ali Juma Shamuhuna.yaliofanyika katika Masjid Fii Sabil Lah kwa Said Washoto Amani.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakisalimiana na mgeni Rasmi katika mashindano hayo yaliofanyika Masjid Fii Sabil Lah ulioko Amani kwa Saidi Washoto.
Mashaallah! Mungu, awalipe wale wote walioandaa na kufanikisha mashidano haya.Lakini pia tukumbuke "tahfidhu-l-quran" ni fani inayo muwezesha mw'funzi kuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi na kukumbuka na hivyo kua ktk mazingira mazuri baadae ya kuja kujisomea fani nyingine kama vile Law,medicine n.k. ili kujitafitia riski za halali na kuendeleleza dini yetu.
ReplyDelete