BENCHI la timu ya Maskani ya Medson Vetenari wakifuatili mchezo wao na maskani ya Rasta Kipara.
Mchezaji wa maskani Rasta Kipara Yunus Roma kulia akimpita beki wa Medson Vetenari.maskani Rasta Kipara imeibuka mshindi 2-1
Golikipa wa Maskani ya Medson iTaimur Mohammed haamini msacho yake kuwa hilo ni goli la kwanza likimpita.
Beki wa timu ya Medson akimkata kwanja mshambuliaji wa maskani ya Rasta Kipara katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kuingia robo fainal.
Beki wa Maskani ya Medson Adaya akitambaa na mikono baada ya kupigwa chenga na mshambuliaji wa Rasta Kipara Ali Hilal Lee.
WADAU wa mchezo wa mpira wakiwa katika uwanja wa Kikwajuni wakifuatilia mchezo huo vijana wengi kipindi hicho cha mfungo hutumia muda wao katika viwanja vya mpira.
Mshambuliaji wa Maskani ya Rasta Kipara Yunus Roma akiwapita wachezaji wa Medson.
Wachezaji wa Maskabni ya Rasta Kipara wakiwa mapumziko baada ya mchezo wao na Medson wakiwa mbele kwa bao moja dhidi ya Medson.
Kushoto Hamid wa maskani ya Rasta Kipara akimiliki mpira na Suleiman wa Medson akijiandaa kumzuiya asilete maafa golini kwao.
No comments:
Post a Comment