Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kwamba Mbunge aliyepata ajali juzi Maalim Mussa Khamis Silima nae ametutoka Hospitali ya Muhimbili. Mipango ya kuusafirisha mwili kwa ajili ya mazishi inafanyika.
No comments:
Post a Comment