SOKONI MWANANAKWEREKWE KATIKA HARAKATI ZA KILA SIKU SOKONI HAPO.
MFANYAKAZI wa Soko Kuu la Mwanakwerekwe akifanya usafi wa mazingira ya soko hilo wakati wa mchana ili kupunguza uchafu unaotokana na bidhaa zinazoingia hapo.

WAFANYABIASHARA ya Matunda katika soko la Mwanakwerekwe wakipanga matunda ya embe, matango na machuingwa kwa ajuili ya watejka wao wanaofika sokoni hapo kufuata mahitaji yao.

WANANCHI wakipata huduma ya nguo katika banda la Jua Kali lilioko katika maeneo ya Mwanakwerekwe, katika kipindi hichi cha karibu na Sikukuu harakati za kutafuta nguo zinakuwa nyingi madukani.
No comments:
Post a Comment